Natamani Mkia warudie kusoma hizi Post.Mpira hauna ugenini wala nyumbani baka alishinda tatu akapigwa nne
Kwahyo usikalili katika soka hatuna formula ya ushind unapigwa hata kwako
Kwahyo Simba kupata droo kule na ud songo ndio unategemea atashinda kwa urahis hapa taifa unajua timu pinzani inakuja na plan gani?ΒΏ??????
πππ Manara huyo kawaharibu.Hahaha mbumbumbu wanaahadi za kidwanzi sana
Mtani tembea basi. π π π πYanga akishinda ugenini natembea uchi
Nimekuelewa sana Mkuu kwani TUMEPINDUA MEZA KIBABE AISEE!!!kwa mchezo wa Jana kupata sare ya 1-1 home sio matokeo rafiki kwetu Ila timu inampira mzuri mno I believe. Away tutaenda kuwashangaza watu coz ninaimani sikuiyo tutaenda kupindua meza kibabe kama tukicheza mpira kama wa Jana tulio cheza second half.
Congratulation
Dar Young Africans Sc
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Sawa Mtani.Baridiiiii-JM Kikwete
Umeona ilivyowezekana Mkuu.Iyo sale lazima iwa cost,maana kama mmeshindwa kufua dafu nyumbani ugenini mtaweza?
Nakusalimia Mtani.Mimi sio shabiki wa πΈ
Njoo aisee Mkuu!!! YametimiaWewe jiapize tu hafu siku Yanga inapindua meza usitembee uchi uone , tutakuvua nguo hakiyani.
[emoji23]Hambebeki nyie,mmeshinda kupindua meza mbele ya mama zenu,mtapindua meza mbele ya wakwe zenu.
Yanga ikishinda ugenini natembea uchi Shadeeya
Ameshakuja aiseee!!! Utaniita akianza kutembea Mkuu. πππKuna Dalili Ya Mtu Kutembea Chiu Humu Jukwaani.
Mbona unaanza kufukua makaburi sasa Shadeeya?Daaah! Nauliza tu kama ushaanza kutembea upite na hapa kwangu Mtani nipate kukuona aiseee. ππππ
Lakini safari yenu fuupi sana ujueNajisikia kufukua makaburi tu leo ya wale walioibeza timu ya Wananchi kwenye ile mechi ya kwanza na Township Rollers pale kwa Mkapa. ππππ
Kama kawaida yetu tunampakata mtu kwa Mkapa si utakuwepo eeh?Hahahaaa. Mtani nilitingwa aisee.
Tumewaachia kibarua na nye mupambane na hali zenu. ππππ
Hahaha unataka na wewe umchungulie? Uone nini sasa?Daaah! Nauliza tu kama ushaanza kutembea upite na hapa kwangu Mtani nipate kukuona aiseee. ππππ
Mnapiga kelele kwa hiyo hatua moja tu!!!?Nimekuelewa sana Mkuu kwani TUMEPINDUA MEZA KIBABE AISEE!!!
Naunganisha tu habari Ses ili ieleweke. πππMbona unaanza kufukua makaburi sasa Shadeeya?
Daah! Ulivyoandika hadi nimeona aibu lol.Hahaha unataka na wewe umchungulie? Uone nini sasa?
Ndiooo!!! Kwani nyie mushaipiga?Mnapiga kelele kwa hiyo hatua moja tu!!!?