Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Naona uzi wameukimbia kulwa.
Kule kuchomoa sidhani kama wamebaki salama.🙌🙌 ujue huwa kuna maumivu.
Huu uzi siku zote umepoa
Hawajawahi kupata sababu ya kuwa proud na team yao masikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona uzi wameukimbia kulwa.
Kule kuchomoa sidhani kama wamebaki salama.🙌🙌 ujue huwa kuna maumivu.
Hivi hata sijui msimu huu wanagombea nini masikini?Huu uzi siku zote umepoa
Hawajawahi kupata sababu ya kuwa proud na team yao masikini
Wanagombea kupindua mezaHivi hata sijui msimu huu wanagombea nini masikini?
Tunayapokea yote."daima sare au kufungwa ushindi mwiko"
Naona uzi wameukimbia kulwa.
Kule kuchomoa sidhani kama wamebaki salama.🙌🙌 ujue huwa kuna maumivu.
Pacha naona mmeamua kuja kutesekea kwenye uzi wetu. 🤣🤣🤣🤣Huu uzi siku zote umepoa
Hawajawahi kupata sababu ya kuwa proud na team yao masikini
Hivi hata sijui msimu huu wanagombea nini masikini?
😂😂😂😂Wanagombea kupindua meza
Pacha naona mmeamua kuja kutesekea kwenye uzi wetu. 🤣🤣🤣🤣
Haya bana ndio kazi ya mdomo hiyo.
Sio kujifariji bana Pacha ni hicho ndio kilibakia. Mana wengine hawajui kilichoendelea.
Pacha joanah nakukaribisha tuungane kuifuatilia timu ya wananchi hapo 16:00hrs.
Usisahau kuja na troublemaker na Penison. 😅
Kila la heri jitahidini leo mfikishe walau point mbili.Pacha joanah nakukaribisha tuungane kuifuatilia timu ya wananchi hapo 16:00hrs.
Usisahau kuja na troublemaker na Penison. 😅
Nini lakini Pacha? 😔😔Hahahahah pacha unateseka sana na hili jumba bovu!
Hii ni mechi yenu ya tatu leo msimu huu ee?
Nawakumbusha mechi ya kwanza mlipoteza
Mechi ya pili mlidraw
Leo natabiri mnafungwa 2-1 ama mtadraw kama mkipambana enough
Ila nyieee. 😷Kila la heri jitahidini leo mfikishe walau point mbili.
Nini lakini Pacha? 😔😔
Mi nasema tunashinda 1 - 0