Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naona uzi wameukimbia kulwa.
Kule kuchomoa sidhani kama wamebaki salama.πŸ™ŒπŸ™Œ ujue huwa kuna maumivu.

Huu uzi siku zote umepoa
Hawajawahi kupata sababu ya kuwa proud na team yao masikini
 
Naona uzi wameukimbia kulwa.
Kule kuchomoa sidhani kama wamebaki salama.πŸ™ŒπŸ™Œ ujue huwa kuna maumivu.
Huu uzi siku zote umepoa
Hawajawahi kupata sababu ya kuwa proud na team yao masikini
Pacha naona mmeamua kuja kutesekea kwenye uzi wetu. 🀣🀣🀣🀣

Haya bana ndio kazi ya mdomo hiyo.
 
Pacha joanah nakukaribisha tuungane kuifuatilia timu ya wananchi hapo 16:00hrs.

Usisahau kuja na troublemaker na Penison. πŸ˜…

Hahahahah pacha unateseka sana na hili jumba bovu!

Hii ni mechi yenu ya tatu leo msimu huu ee?
Nawakumbusha mechi ya kwanza mlipoteza
Mechi ya pili mlidraw

Leo natabiri mnafungwa 2-1 ama mtadraw kama mkipambana enough
 
Nini lakini Pacha? πŸ˜”πŸ˜”

Mi nasema tunashinda 1 - 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…