Mtani inabidi wakukumbuke kwenye nafasi yeyote pale kwenye lile jengo lililopo pale bwawani.NYOTA 20 KUIFUATA PYRAMIDS FC ALHAMIS.
Msafara wa wachezaji 20 wa Yanga wanatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, Novemba 03 katika uwanja wa 30 June ambao unachukua mashabiki takribani 30,000
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema wanakwenda Misri kushindana, wameuchukulia mchezo huo kwa uzito kwani bado wana nafasi ya kusonga mbele
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema wanafahamu wana kazi kubwa ya kufanya huko Misri, wamejipanga kuifanya "Sisi falsafa yetu ni kupindua meza kibabe, hata kama meza ni ya chuma, tutaipindua hivyohivyo," ametamba Mwakalebela
Kiongozi huyo anatarajiwa kuongoza msafara huo unaokwenda Misri
Yanga ilirejea kutoka jijini Mwanza juzi na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo huo ambao wanahitaji ushindi wa kuanzia mabao mawili
ππππ kwa nini Mtani?Mtani inabidi wakukumbuke kwenye nafasi yeyote pale kwenye lile jengo lililopo pale bwawani.
Una bidii sana na hii yanga yenu mbovuππππ.ππππ kwa nini Mtani?
Hahahaaa. Sasas wote tukiisusa unadhani itakuwaje Mtani. Wacha tu niwe naleta Updates kila nikigongana nazo huko.Una bidii sana na hii yanga yenu mbovuππππ.
Kila la heri mkapindue meza huko.Hahahaaa. Sasas wote tukiisusa unadhani itakuwaje Mtani. Wacha tu niwe naleta Updates kila nikigongana nazo huko.
Japo niseme yote yaliyopo sasa kwa Yanga ni ya kupita tu Mtani.
Mmh. Inawezekana ila si kazi rahisi Mtani.Kila la heri mkapindue meza huko.
Mmh. Inawezekana ila si kazi rahisi Mtani.
Hahahaaa. Umeshaisahau aibu yako Mtani.Nafurahi kuwa unaukubali ukweli mjitahidi tu hata idadi ya magoli iwe ndogo msije kututia aibu.
Hahahaaa. Umeshaisahau aibu yako Mtani.
Tano hamsa dala ππ
Duuh! Hii kali Mtani.Nilipigwa tano lakini niliqualify sasa wewe utaenda wapi?
Huo ndio utofauti kati ya mimi na wewe.
Mwisho wa siku kundi lilikuwa hiviHahahaaa. Umeshaisahau aibu yako Mtani.
Tano hamsa dala ππ
Ila mnajuaga kujifariji bana. πππMwisho wa siku kundi lilikuwa hivi
1.Al Ahly
2.Simba
3.JS Soura
4.As Vital
Al Ahly na Simba wakaingia Robo Fainali
Pamoja na kufungwa kote goli 5 Simba tulifika hapo vipi nyie.
Zahera kashasema hamna team wala wachezaji wa kukabiliana na kikosi cha Pyramid sasa nyie ni nani hadi mumpinge Mwalimu PapaaNYOTA 20 KUIFUATA PYRAMIDS FC ALHAMIS.
Msafara wa wachezaji 20 wa Yanga wanatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, Novemba 03 katika uwanja wa 30 June ambao unachukua mashabiki takribani 30,000
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema wanakwenda Misri kushindana, wameuchukulia mchezo huo kwa uzito kwani bado wana nafasi ya kusonga mbele
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema wanafahamu wana kazi kubwa ya kufanya huko Misri, wamejipanga kuifanya "Sisi falsafa yetu ni kupindua meza kibabe, hata kama meza ni ya chuma, tutaipindua hivyohivyo," ametamba Mwakalebela
Kiongozi huyo anatarajiwa kuongoza msafara huo unaokwenda Misri
Yanga ilirejea kutoka jijini Mwanza juzi na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo huo ambao wanahitaji ushindi wa kuanzia mabao mawili
Kufunga goli tano wakati mwingine hakuna hata maana Shadeeya, Vita FC walitufunga hizo tano mwisho wa siku tukawatupa nje ya CCL! Mpira ni mbinu, mpira ni ufundi, mpira ni sanaa,mpira ni mahesabu makali Shadeeya.π€£ππ€ͺIla mnajuaga kujifariji bana. πππ
Niseme tu hizo goli tano tano huwa hazifutiki.
Mmmmhhh Shadia! Kupindua meza hamuwezi wala msijipe matumaini hewa. Safari ya Misri ni yakitalii zaidiπππMmh. Inawezekana ila si kazi rahisi Mtani.
Kama ambavyo kuingia kwetu robo fainali hakufutikiπππIla mnajuaga kujifariji bana. πππ
Niseme tu hizo goli tano tano huwa hazifutiki.