Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mgonjwa mmemtoa Muhimbili mkaamua mumhamishie Bugando sasa amefia huko
Tujuzeni mnazika hukohuko au mnasafirisha.
Shadeeya.
a.gif
 
NYOTA 20 KUIFUATA PYRAMIDS FC ALHAMIS.

Msafara wa wachezaji 20 wa Yanga wanatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc

Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, Novemba 03 katika uwanja wa 30 June ambao unachukua mashabiki takribani 30,000

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema wanakwenda Misri kushindana, wameuchukulia mchezo huo kwa uzito kwani bado wana nafasi ya kusonga mbele

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema wanafahamu wana kazi kubwa ya kufanya huko Misri, wamejipanga kuifanya "Sisi falsafa yetu ni kupindua meza kibabe, hata kama meza ni ya chuma, tutaipindua hivyohivyo," ametamba Mwakalebela

Kiongozi huyo anatarajiwa kuongoza msafara huo unaokwenda Misri

Yanga ilirejea kutoka jijini Mwanza juzi na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo huo ambao wanahitaji ushindi wa kuanzia mabao mawili
 
Mtani inabidi wakukumbuke kwenye nafasi yeyote pale kwenye lile jengo lililopo pale bwawani.
 
NYOTA 20 KUIFUATA PYRAMIDS FC ALHAMIS.

Msafara wa wachezaji 20 wa Yanga wanatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc

Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili, Novemba 03 katika uwanja wa 30 June ambao unachukua mashabiki takribani 30,000

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema wanakwenda Misri kushindana, wameuchukulia mchezo huo kwa uzito kwani bado wana nafasi ya kusonga mbele

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema wanafahamu wana kazi kubwa ya kufanya huko Misri, wamejipanga kuifanya "Sisi falsafa yetu ni kupindua meza kibabe, hata kama meza ni ya chuma, tutaipindua hivyohivyo," ametamba Mwakalebela

Kiongozi huyo anatarajiwa kuongoza msafara huo unaokwenda Misri

Yanga ilirejea kutoka jijini Mwanza juzi na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo huo ambao wanahitaji ushindi wa kuanzia mabao mawili
Zahera kashasema hamna team wala wachezaji wa kukabiliana na kikosi cha Pyramid sasa nyie ni nani hadi mumpinge Mwalimu Papaa
 
Ila mnajuaga kujifariji bana. 😂😂😂

Niseme tu hizo goli tano tano huwa hazifutiki.
Kufunga goli tano wakati mwingine hakuna hata maana Shadeeya, Vita FC walitufunga hizo tano mwisho wa siku tukawatupa nje ya CCL! Mpira ni mbinu, mpira ni ufundi, mpira ni sanaa,mpira ni mahesabu makali Shadeeya.🤣😃🤪
 
KIKOSI KINACHOSAFIRI KUELEKEA NCHINI MISRI KUWAKABILI PYRAMIDS FC

Leo usiku kikosi cha Yanga kitaondoka nchini kuelekea Misri tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa Jumapili Novemba 03 2019

Wachezaji 19 wanaotarajiwa kuwa kwenye msafara huo;

1. Farouk Shikalo

2. Metacha Mnata

3. Ramadhani Kabwili

4. Juma Abdul

5. Ally mtoni

6. Ally Ally

7. Lamine Moro

8. Muharami Issa

9. ABdulaziz Makame

10. Feisal Salum

11. Papy Tshishimbi

12. Deus Kaseke

13. Jaffar Mohammed

14. Mapinduzi Balama

15. Mrisho Ngasa

16. Patrick Sibomana

17. Issa Bigirimana

18. Sadney Urikhob

19. Juma Balinya
 
Back
Top Bottom