Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Upo sokoine nije kuangalia timu yenuUjue tuko busy na maandalizi ya mechi ya baadae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sokoine nije kuangalia timu yenuUjue tuko busy na maandalizi ya mechi ya baadae.
Saa kumi ndio itazungumza.Busy kupeleka nyuki eeh mamii?🤣🤣🤣
Nipo ndugu yangu. Si unajua sisi Yanga lia lia nimeshindwa kubakia shamba hivyo nimekuja mjini niione timu ya wananchi kidogo. 🤣Upo sokoine nije kuangalia timu yenu
HahahahaNipo ndugu yangu. Si unajua sisi Yanga lia lia nimeshindwa kubakia shamba hivyo nimekuja mjini niione timu ya wananchi kidogo. [emoji1787]
Sawa Ndugu. 😅Hahahaha
Nipo njiani nakuja kukupa sapot ya nguvu maamna naona watu kutoka sumbawanga na tunduma wamewasili kuchek mtanange huu
sawaSawa Ndugu. [emoji28]
Hahahahahahahahah MBEYA CITY Mungu awabariki sana.
Hahahahaaa. Ila nyieee. Ipo siku yenu Mtani.
Sawa Mtani. Dua yako imepokelewa.Hahahahahahahahah MBEYA CITY Mungu awabariki sana.
Sawa Mtani. Dua yako imepokelewa.
Aliyekuficha Mungu anamuona Mtani.[emoji16]
Aliyekuficha Mungu anamuona Mtani.
Ooh. Nimefurahi kukuona.Npo mtani
Soka la Tanzania huwa linakera sana Mkuu. Yaani yule Mama alinikera sana.Hii timu haitakiwi kushinda asee. Wengine Jana walizawadiwa penati kama zawadi ya Xmass huko shamba la bibi