Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi kombe la Sportpesa linaanza lini tuone kama na huku mtatukimbia tena Shadeeya
Mtahangaika sana mwaka huu mwisho wa siku tulishawaonyesha sisi ni nani Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivyo sasa hivi wazeni Mechi za Ligi Kuu huku mkisubiria lini tutakutana round ya pili wacheni kuwaza kukutana na Yanga kwenye makombe yasiyo na msisimko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…