Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi kombe la Sportpesa linaanza lini tuone kama na huku mtatukimbia tena Shadeeya
Mtahangaika sana mwaka huu mwisho wa siku tulishawaonyesha sisi ni nani Mtani. 😂😂

Hivyo sasa hivi wazeni Mechi za Ligi Kuu huku mkisubiria lini tutakutana round ya pili wacheni kuwaza kukutana na Yanga kwenye makombe yasiyo na msisimko.
 
Back
Top Bottom