Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Naam Shadeeya, lete habari. Naona roho yako kwatu kabisa sasa eehπ€£? Hivi Yanga ndio mlishinda jana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam Shadeeya, lete habari. Naona roho yako kwatu kabisa sasa eehπ€£? Hivi Yanga ndio mlishinda jana?
Hahahaaaa. Habari ni kama zinavyotembea huko mjini.Naam Shadeeya, lete habari. Naona roho yako kwatu kabisa sasa eehπ€£? Hivi Yanga ndio mlishinda jana?
Hivyo vichwa vya Habari nimecheka hadi basi, ila ni kweli MO amesema atabaki kwenye uwekezaji tu.Vichwa vya habari vya magazeti ya leo
1.Bila hirizi Simba haitambi
2.Mbeleko yagoma Leo
3.Simba wapo porini hawa waliopo Mjini ni mapaka ya bar
4.Pingili ya muwa yazama mkiani kwa simba
5.Rununu zinasumbua Hata ukiandika neno Simba inakuja Simbilis
6."Bora refa angekuwa mmama tena " asema Manara
7.Simba Kama housegirl yaani kimoja tu MIMBA
8.Simba ni zaidi ya maharage ya Mbeya hata ukilibana kwenye kwapa linaiva
9."Bora pesa yangu Hata ningewekeza kwenye Upatu" bilionea asema hayo
10.Bosi wa simba abwaga manyanga ni baada ya Timu yake kulewa muwa.
11. Mapinduzi aendelea kuipindua simba kama balama.
Amakweli adui yako muombee njaaπ€£π€£π€£Hahahaaaa. Habari ni kama zinavyotembea huko mjini.
Kufungwa kwako sisi kwetu ni burudani tu. π
Yaani leoKesho hiyo.
Ndio Mtani.Yaani leo
Kumbe upo[emoji16]
Simu nitaacha nymbn[emoji12]huwa sipend usumbufu muda wa mechi[emoji16]
Mkaruke ruke tena kama kawaida yenuNdio Mtani.
Hahahaaa. Sisi ndio tukaruke ruke Mtani?Mkaruke ruke tena kama kawaida yenu