Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Vichwa vya habari vya magazeti ya leo
1.Bila hirizi Simba haitambi
2.Mbeleko yagoma Leo
3.Simba wapo porini hawa waliopo Mjini ni mapaka ya bar
4.Pingili ya muwa yazama mkiani kwa simba
5.Rununu zinasumbua Hata ukiandika neno Simba inakuja Simbilis
6."Bora refa angekuwa mmama tena " asema Manara
7.Simba Kama housegirl yaani kimoja tu MIMBA
8.Simba ni zaidi ya maharage ya Mbeya hata ukilibana kwenye kwapa linaiva
9."Bora pesa yangu Hata ningewekeza kwenye Upatu" bilionea asema hayo
10.Bosi wa simba abwaga manyanga ni baada ya Timu yake kulewa muwa.
11. Mapinduzi aendelea kuipindua simba kama balama.
 
Hivyo vichwa vya Habari nimecheka hadi basi, ila ni kweli MO amesema atabaki kwenye uwekezaji tu.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 

Amepitia vilabu vya
1.DC Motema Pembe DRC 2018-
2.Orlando Pirates SA 2016-2018
3.AS Vita DRC 2015-2016
4.Ashanti Gold FC Ghana 2013-2015
5.Hearts of Lions 2010-2013

Bernard Morrison kutoka Ghana Rasmi ni Mwananchi.

@YangaSc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…