Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Alisikika mshabiki wa 5imba akijifariji. Teh teh.Unajua nyie mnatimu mbovu sana ile sare ya Simba mlioipata mkajiona mna timu nzuri sana.
Sawa ngoja tuoneMpira dkk 90. π
πππNaona miwa ni mitamu kwa upande wako
Ila siyo mbaya tutafanya Njoo Rudi.Dkk ya 72
Yanga 0 Kagera 2
Hahahahaaaa. Naona mmepata pa kupumulia leo Mtani. Lol.Ila siyo mbaya tutafanya Njoo Rudi.
Muda bado upo
Kila lakheri Yanga
mayenje.. [emoji202][emoji230]Nkurukumbi nkurukumbi niyo yaizaile ...............................................
Uwiii nini tatizo hahahahahahahahaUwiiiii