Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

BALAMA na MAPINDUZI leo hawamo...
Basi kuna mtu ana hirizi leo tena atakuwa Mexime na Kipa
 
Bado kidogo niende Taifa. Ningerudije mie kule madongo kuinama Shadeeya mie. 🤔🤔🤔🤔
 
Nimefungwa naandikaje kwa kuchangamka Mkuu.

Ila ndio mpira. Naganga ya Azam sasa.
Mpigwe tu. Ila kule kwetu nako muda wowote zumari inaweza ingia tandu, isilie tena, wabaki kusaga meno. Maana bosi kama vile amechoshwa na vipigo visivyo na sababu. Wachezaji wamelegea kama vile wanakula nyasi. Fedha yote wanayolipwa. Hata mimi ningechoka.
 
Back
Top Bottom