Yanga Nguvumoja, tarehe 4 mikia watapata kipigo ambacho hawatakaa wakisahau.
TULIVYOKUWA PUNGUFU NAYO NDIO CHANZO CHA YOTE HAYA. [emoji17]
sasa red card inatuhusu nini sisi?
Pole yetu mkuu,siyo ishu sana naamini ni transition.Bado kidogo niende Taifa. Ningerudije mie kule madongo kuinama Shadeeya mie. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Eti tupigwe tu lol.Mpigwe tu. Ila kule kwetu nako muda wowote zumari inaweza ingia tandu, isilie tena, wabaki kusaga meno. Maana bosi kama vile amechoshwa na vipigo visivyo na sababu. Wachezaji wamelegea kama vile wanakula nyasi. Fedha yote wanayolipwa. Hata mimi ningechoka.
Hebu kubali mtani mmefungwa acheni visingizioTULIVYOKUWA PUNGUFU NAYO NDIO CHANZO CHA YOTE HAYA. [emoji17]
Ahsante. Hakika na kwenye soka hayazuiliki hayo Mkuu.Pole yetu mkuu,siyo ishu sana naamini ni transition.
Ahsante. Hakika na kwenye soka hayazuiliki hayo Mkuu.
Tugange ya Jumamosi sasa Mkuu.
Sijakataa mbona Mtani lakini huenda tungekuwa kamili hata goli zisingekuwa nyingi kiasi iko.
Mwisho atachoka tu, yatokee kama ya kwenu kutembeza bakuli.Eti tupigwe tu lol.
Wapo wa kumbembeleza Mkuu na ndio sababu anafanya maamuzi halafu mwishowe anayatengua. Hivyo usiyatarajie hayo.
Yaani ungekuwa karibu Mtani kwa kauli hii na nilivyo bonge π ningekusukuma na huko mana unafujo mbaya. ππIla siyo mbaya jamani ligi bado mbichi hii
.Alisikika mlevi mmoja akisema
Mpaka nyongo zenu ziishe Mtani. Si eti eee? πYa jumamosi hayagangiki[emoji16]
Hakika Mkuu.Mwisho atachoka tu, yatokee kama ya kwenu kutembeza bakuli.
Na zote zinamilikiwa na mtu mmojaDah, pole timu yangu Yanga basi Simba wamefurahia tuko sare sare kwenye kupigwa[emoji849] hizi timu vipi Mtibwa Sugar, Kagera sugar.
Sent using Jamii Forums mobile app