Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Umeona eeh? Wananchi nawajua mimi, uvumilivu kwao ni sifuri hata kama mwanzo uliwafanyia makubwa🤣🤣🤣Yaani atajuta mana tutayafukia maudambwi udambwi yote kama usemavyo.
Mmh. Hii haina cha Uwananchi Ses ipo kwa Watanzania wote na ndio hata sababu nyie wenyewe munaukosaga hadi huwa munavunja viti. 😎Umeona eeh? Wananchi nawajua mimi, uvumilivu kwao ni sifuri hata kama mwanzo uliwafanyia makubwa🤣🤣🤣
Hivi kosa la Mkwasa ni nini hadi mkaamua kumpa mzungu?
Mie hata Sijui Ses lengo langu nimemuweka Kabwili ili roho ziwapae. 😂😂😂Hivi kosa la Mkwasa ni nini hadi mkaamua kumpa mzungu?
😂😂 pamoja sana ShadeeyaOooh. Nikijulie wapi Mtani hicho Kifaransa. 🤣🤣
Haya bana pamoja Mtani.
Ila Shadeeya ulimshauri vibaya sana huyo dogo, sasa hivi anajuta kwanini alikusikiliza.😉
Mwana kulitafuta mwanakulipewa, athibitishe sasaIla Shadeeya ulimshauri vibaya sana huyo dogo, sasa hivi anajuta kwanini alikusikiliza.😉
Mwana kulitaka Mwana kulipata
😀😀😀😀 nawaza tu pale itakapothibitika ni kweli ndio michezo yenu sijui mutajificha wapi nyie mtani. 🤔🤔Ila Shadeeya ulimshauri vibaya sana huyo dogo, sasa hivi anajuta kwanini alikusikiliza.😉
Mwana kulitaka Mwana kulipata
😅😅😅😅 hii ni zaidi ya kughadhibika Ses. Pole eee.Mwana kulitafuta mwanakulipewa, athibitishe sasa
Anachafua jina lilijengwa kwa jasho na watu wenye heshima zao. Mtu akikwambia unatoa mlungula ni kama amekwambia unauza poda,😅😅😅😅 hii ni zaidi ya kughadhibika Ses. Pole eee.
Mpaka sasa sioni kama kawachafua Ses. Hebu tuisubirini Kamati ifanye kazi.Anachafua jina lilijengwa kwa jasho na watu wenye heshima zao. Mtu akikwambia unatoa mlungula ni kama amekwambia unauza poda,
Mimi naona angefanya la maana au nyinyi mumshauri aombe radhi na akiri hadharani kua alidanganya ili kuchangamsha genge.Mpaka sasa sioni kama kawachafua Ses. Hebu tuisubirini Kamati ifanye kazi.
Yote hayo hayana nafasi kwa sasa Ses. Mimi ushauri wangu tuiachieni kamati ifanye kazi na si kulazimisha Kabwili naombe radhi.Mimi naona angefanya la maana au nyinyi mumshauri aombe radhi na akiri hadharani kua alidanganya ili kuchangamsha genge.
Tungeishia kumlaumu tu na kumuona anamambo ya kitoto. Tena angeokoa pesa za umma na muda wa wajumbe kwa wanaokutana kumjadili yeye
Unaona sasa Shadeeya? Nswanzurimo tulichukulia kama hasira zake baada ya kumfunga tukapotezea, sasa Simba wakaona wakiacha hii tabia itaendelea na watu kama kona Shadeeya mwisho wataaminiYote hayo hayana nafasi kwa sasa Ses. Mimi ushauri wangu tuiachieni kamati ifanye kazi na si kulazimisha Kabwili naombe radhi.
Niulize kwani hii sio michezo yenu Ses sababu hadi Nswanzurimo alishawahi kusema kwamba mnahonga marefa ilikuwaje mbona hamkumwambia aombe radhi?