Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

HUYU DOGO KAJUA KUCHAFUA HALI YA HEWA JAMANI. LOL

20200129_073829.jpg
 
20200129_131241.jpg

Nahodha wa zamani wa Yanga Kelvin Yondani huenda akarejeshwa kikosini kwenye mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa siku ya Jumapili Februari 02 kwenye uwanja wa Uhuru.

Yondani alikosa michezo mitatu iliyopita, akikosa mazoezi kwa siku sita kutokana na sababu alizoeleza kuwa mgonjwa.

Kitasa huyo wa timu ya Taifa alirejea kikosini siku mbili kabla ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons hata hivyo Eymael hakumtumia kwenye mchezo huo.

Leo anatarajiwa kuendelea na mazoezi ya kikosi cha Yanga baada ya mapumziko ya siku mbili.

Juzi Eymael alieleza kutofurahishwa na mazingira ya kukosekana kwake kikosini.

Eymael aliwatahadharisha wachezaji kuwa ni lazima wazingatie nidhamu kama wanataka kupata nafasi kwenye kikosi chake.

Alisisitiza kuwa hakuna mchezaji mtovu wa nidhamu ambaye atapata nafasi ya kucheza na kuwa hakuna mchezaji mkubwa kuliko Yanga.

@Yangafulldoz
 
Mpaka sasa sioni kama kawachafua Ses. Hebu tuisubirini Kamati ifanye kazi.
Mimi naona angefanya la maana au nyinyi mumshauri aombe radhi na akiri hadharani kua alidanganya ili kuchangamsha genge.

Tungeishia kumlaumu tu na kumuona anamambo ya kitoto. Tena angeokoa pesa za umma na muda wa wajumbe kwa wanaokutana kumjadili yeye
 
Yote hayo hayana nafasi kwa sasa Ses. Mimi ushauri wangu tuiachieni kamati ifanye kazi na si kulazimisha Kabwili naombe radhi.

Niulize kwani hii sio michezo yenu Ses sababu hadi Nswanzurimo alishawahi kusema kwamba mnahonga marefa ilikuwaje mbona hamkumwambia aombe radhi?
 
Unaona sasa Shadeeya? Nswanzurimo tulichukulia kama hasira zake baada ya kumfunga tukapotezea, sasa Simba wakaona wakiacha hii tabia itaendelea na watu kama kona Shadeeya mwisho wataamini
 
Back
Top Bottom