Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kwa soka la Tanzania wataishia kuonywa tu.Adhabu yao ni kushushwa daraja na ikiwezekana kunyang'anywa ubingwa walochukua lat time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa soka la Tanzania wataishia kuonywa tu.Adhabu yao ni kushushwa daraja na ikiwezekana kunyang'anywa ubingwa walochukua lat time
Wana ubavu huo wakati ndio michezo yao.Wanalialia tu wamechafuliwa halafu mahakamani hawaendi ha ha ha ha
Hakika Mkuu. Wacha Ituuwe. 💃💃💃Ilipo tupo......
Ila itafikia hatua wataona imetosha na hapo ndio atajua bila yeye Yanga inaweza kusonga.Ila Yondani amezidi sasa, sijui viongozi wanamchekea mana kila kocha lazima alalamike kuhusu tabia zake mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaeee. Mie naona ikiwezekana uongozi ikifikia kipindi cha usajili watafutage mbadala tu na hapo ndio akili itamkaa sawa.Anajiona hata akiringa atabembelezwa.....Na pia amekuwa na makosa kiasi Kelvin nadhani Sonso aaminiwe kucheza maana ameimprove sana na anajihad sana currently
YANGA, MWEZI 1 MECHI 9
**RATIBA YA YANGA FEBRUARY**
1) 02/02/2020 Yanga SC vs Mtibwa Sugar-National Stadium 1600hrs;
2) 05/02/2020 Yanga SC vs Lipuli FC- National Stadium 1600 hrs;
3) 08/02/2020 Ruvu Shooting vs Yanga SC National Stadium 1900hrs;
4) 11/02/2020 Yanga SC vs Mbeya City- National Stadium 19:00hrs
5) 15/02/2020 Young vs Tanzania Prisons National Stadium 1900hrs;
6) 18/02/2020 Police Tanzania vs Yanga SC- Ushirika Stadium, Kilimanjaro, 1600hrs;
7) 23/02/2020 Coastal Union vs Yanga Mkwakwani Stadium, Tanga 16:00hrs
8) 25 or 26/02/2020 Yanga SC vs Gwambina FC (FA);
9) 29/02/2020 Yanga SC vs Alliance FC, National Stadium, 1600hrs;
Mwezi February una jumla ya Mechi tisa, Sita-Mwenyeji, Tatu-Ugenini
HATIMAYE BODI IMEWAKUMBUKA
*Nlitaka nishangae yani tff waisahau yanga kwenye ratiba kweli!? Wamejifanya kutusahau kumbe wanajua mkakati walopanga wa kuimaliza Yanga. Pumbavu zao na tutatoboa tu.* *Hiyo timu yao pendwa wanayoibeba itawaumbua tu!*
Hakika Ses.Mungu Amuwepesishie Inshaallah. Kama Shomari Kapombe tu, anacheza hivyohivyo kwa tahadhari
Ha ha ha kumbe washaitelekezea kamati huko!Kwani hujasikia walidai wameiachia Kamati gani sijui huko ifanye uchunguzi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Manara aliishadadia wee mwishowe kaishia kutulia.
Karibu mama Morrison!
Yaani hii bodi ya ligi inajijua yenyewe. Yaani raundi ya kwanza na ya pili humo humo. Mana kuna game wanamalizia za raundi ya kwanza na kuna game za raundi ya pili zitaendelea pia kama hao Mbeya cityHivi hizo mechi ndio na za round ya pili zitakuwa zimeanza au sijaelewa mana Mbeya City tulishakipiga nao kule kwao Mbeya?
Ndio. Mbwembwe zote baada ya TFF kusema wameunda kamati wakadai ni basi wameiwachia hiyo ndio ifanye kazi. 😀😀Ha ha ha kumbe washaitelekezea kamati huko!
Hata na hiyo ya Prisons pia tulishacheza nao siku ile ambayo Uwanja uliharibiwa na Wasafi game ikachezewa Iringa kama unakumbuka hivyo ni marudiano nao pia.Yaani hii bodi ya ligi inajijua yenyewe. Yaani raundi ya kwanza na ya pili humo humo. Mana kuna game wanamalizia za raundi ya kwanza na kuna game za raundi ya pili zitaendelea pia kama hao Mbeya city
Ha ha ha na hapo hawang'azi pia tenaaa! Watabaki wanazugazuga tuNdio. Mbwembwe zote baada ya TFF kusema wameunda kamati wakadai ni basi wameiwachia hiyo ndio ifanye kazi. [emoji3][emoji3]
Sahihi!Hata na hiyo ya Prisons pia tulishacheza nao siku ile ambayo Uwanja uliharibiwa na Wasafi game ikachezewa Iringa kama unakumbuka hivyo ni marudiano nao pia.
Yaani Soka la Tanzania ni kichefu chefu.
Na ndio kilichobakia huoni kumeshapoa mjini hakuna hizo habari tena. 😀Ha ha ha na hapo hawang'azi pia tenaaa! Watabaki wanazugazuga tu
Daaa itakaa poa sana kama azma hii ikitimia
Nguli wa mfumo wa soka la Kisasa yaani Modern Football fundi Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu Benfica ya Ureno kwa muongo mmoja (miaka 10) atua rasmi Dar es salaam ili kuanza kazi ya kushauri kueleka Mabadiliko ya kimfumo ya uendeshaji wa Klabu.. Shukran kwa Brand Chapa Gsm kwa kulisimamia hili.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
@Yangasc
Na ameshatua tayari Mkuu. Tusubiri tuone Klabu walichokidhamiria kama kitatimia.Daaa itakaa poa sana kama azma hii ikitimia