Huu ni niniyanga hamna uhakika wa timu yenu kushinda ndo maana hamuwezi anzisha uzi hapa
Goli limekuwa kona. Simba tena au?
Tumemaliza na ndio kama ulivyosikia tena.Bado hamjamaliza kujiwinda[emoji23]
Nipo Binamu.Upo?
Kheri Bina naona refa kawapa mbeleko la maana..Nipo Binamu.
Hahahahaaaaa. Leo mmepata pa kusemea.Kheri Bina naona refa kawapa mbeleko la maana..
Hahahahaaaa. Lol.
soma sheria za football uelewe siyo unatema ugoro hapaKheri Bina naona refa kawapa mbeleko la maana..
Kuwa mtulivu. Sheria zimewekwa ili aidha zivunjwe au zifuatwe.soma sheria za football uelewe siyo unatema ugoro hapaView attachment 1348076
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio utuoneshe kwa uthibitisho kuwa sheria ilivunjwa kwa namna ipiKuwa mtulivu. Sheria zimewekwa ili aidha zivunjwe au zifuatwe.