Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nashukuru tumepata pointi tatu muhimu. Timu inacheza vema sana kipindi cha kwanza kuliko kipindi cha pili hilo limeonekana tena Leo kwa wachezaji karibia wote kuonekana wanachoka sana dk 45 za pili.

Nadhani inatokana na kuingia ktk mfumo mpya Wa pasi na kumiliki mpira ambao unachosha. Wakati tukiendelea kuumudu vema huu mfumo ni vema wachezaji watumie ipasavyo nafasi zinazopatikana pindi timu inapokuwa Bado ina nguvu. Leo ruvu ilitakiwa atandikwe 3+ kutokana na nafasi za wazi zilizotengenezwa. Nasfurahi sana kuona timu yetu sasa inapokuwa na nguvu inacheza soka la kuvutia na kutengeneza nafasi nyingi tofauti na awali.
 
Yanga salamu,huwa nauona tu huu Uzi ,sijawahi kusoma....Leo wakati natafakari ,mwenendo wa Timu Yangu Taifa kubwa Simba wa Serengeti na Ngorongoro,nikaona ngoja nione Watani wanasemaje kwenye Uzi wao!
Lahaula nimekutana na bandiko hili!
Kwa kweli hili halistahili kuwa Thread kiongozi hapo juu.
Kwanza Historia ya Yanga imepapapaswa tu,pili Aina ya uandishi mhh! Utafikiri imeandikwa na mtoto wa Darasa la tatu,Shule ya Msingi Mpigamiti kule kwetu Ntwara .
Watani hebu haririni bandiko hili. Jf Ni kubwa ,na hata Yanga pia nafikiri.Hii angeiona Aden Rage sijui angewaitaje!
Lakini Ni ushauri tu...Kama mnaona unafaa uchukueni,ila sipendi kabisa kuona ndugu anadhalilika!
Kama mtaona inafaa niwaandikie ...nipo tayari.

Jumapili Njema,hususan mtakao povukwa stahili ya Mwl Prof Kabudi enzi za Mchakato uliochacha wa Katiba ya Wananchi!
Nilitaka kusahau Jambo muhimu,pia msione aibu Wala woga kujinasibisha na chama kizee CCM huu ni ukweli usiweza potoshwa!
 
Sawa Ila hayakuhusu

kelphin kepph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…