Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

ILA KIUKWELI VIONGOZI WAANGALIE NAMNA YA KUBORESHA SAFU YA USHAMBULIAJI MANA PALE MBELE HAMNA KITU SI YIKPE WALA TARIK SEIF.

MOLINGER MWENYEWE NI MPAKA MECHI IMTOKEE HAPO NDIO TUNAFURAHIA UWEPO WAKE ILA SIKU MECHI IKIMKATAA TUNAMUONA MZIGO TU. 😔😔
 
Bora umesema ukweli wako Shadeeya, timu yenu baado aisee
 
Sare 3 mfululizo!

Mtani nilikwambia toka mwanzo, nyota mbaya huonekana asubuhi.
Nimekubali Mtani kwani hata Papaa alituvuruga kweli naye hasa kwenye ule usajili ambao mwishowe ulikuwa mbovu hasaa. Issa Bigirimana, Juma Balinya na wengineo.

Kuna sehemu nimeona Mkwasa anasema bado tuna nafasi ya kuwa mabingwa lakini mi naona anatufariji tu kwani nyie wazee wa Miamala lazima mutafanya yenu na hasa ukiangalia kuna gap kubwa la point mpaka sasa kati ya sisi na nyie.
 
Back
Top Bottom