mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
1-1[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].Matokeo vipi huko
Nakazia Mkuu.Tuacheni tuna maana yetu [emoji23]
*win, draw, lose Yanga forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa. We cheka tu wala usijibane bane Mtani.Nataman kucheka kwa sauti[emoji16]
Bora umesema ukweli wako Shadeeya, timu yenu baado aiseeILA KIUKWELI VIONGOZI WAANGALIE NAMNA YA KUBORESHA SAFU YA USHAMBULIAJI MANA PALE MBELE HAMNA KITU SI YIKPE WALA TARIK SEIF.
MOLINGER MWENYEWE NI MPAKA MECHI IMTOKEE HAPO NDIO TUNAFURAHIA UWEPO WAKE ILA SIKU MECHI IKIMKATAA TUNAMUONA MZIGO TU. 😔😔
Upande wa ushambuliaji ndio bado.Bora umesema ukweli wako Shadeeya, timu yenu baado aisee
Na ushambuliaji ndio timu. Hata mtembee juu ya mpira kama forward ni butu, hakuna wamaliziaji wenye kujua nyavu zilipo sare kama za harusi zitawahusu tu kila siku, cmbUpande wa ushambuliaji ndio bado.
Nimejikuta namkumbuka Makambo tu hapa.Na ushambuliaji ndio timu. Hata mtembee juu ya mpira kama forward ni butu, hakuna wamaliziaji wenye kujua nyavu zilipo sare kama za harusi zitawahusu tu kila siku, cmb
Kile kilikua kifaa hasaa, na ni mchezaji mwenye hadhi na uwezo wa kucheza Yanga, sijui kwanini Papaa Zahera akamuuza, lakini hao wengine mliuziwa mbuzi kwenye gunia🤣🤣🤣Nimejikuta namkumbuka Makambo tu hapa.
Mtani huu ni zaidi ya uchokozi. 😀Nazipokea salamu.
Naomba kuuliza swali; hizi sare za Yanga, ni kwa ajili ya harusi gani?
Mtani huu ni zaidi ya uchokozi. 😀
Sare nayo ni matokeo ujue.
Nimekubali Mtani kwani hata Papaa alituvuruga kweli naye hasa kwenye ule usajili ambao mwishowe ulikuwa mbovu hasaa. Issa Bigirimana, Juma Balinya na wengineo.Sare 3 mfululizo!
Mtani nilikwambia toka mwanzo, nyota mbaya huonekana asubuhi.