Nimekumiss Mtani. Unajifichaga wapi eti?
Hahahaaa. Mtani nani wa kujiunga naye eti wakati hapo kati points nyingi zilikuwa za maonevu?
Wahenga walisema mavi ya kale hayanuki mkuu😀😀😀Umesahau eeh? Zilikuwa 7 mfululizo
Kilichobakia tuelekeze nguvu FA huenda mwakani tukacheza Kimataifa.Kabisa yaani daah acha kabisa......
2014? Aaah mkuuWahenga walisema mavi ya kale hayanuki mkuu😀😀😀
Mavi ya kale hayanuki Shadeeya, walijisemea wahengaMnashangaa droooo nne kumbe na nyie mshawahi kuzitengeneza sita. Lol.
Wacha ituuwe. 💃💃💃
Aaaah lililililililililililililiiiiiiiiiiiiiiiiiiI lavu yu Yanga.....potelea pote acha ituue tu......ongezea na kile kigelegele
Nikweli kabisaKilichobakia tuelekeze nguvu FA huenda mwakani tukacheza Kimataifa.
Tumeichagua wenyewe🤣🤣🤣🤣Aaaah lililililililililililililiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wacha ituue tu. 🤣🤣🤣🤣
Wachaaaa!!!Wahenga walisema mavi ya kale hayanuki mkuu😀😀😀
Nilikuwa bize na kujenga taifa aiseeNimekumiss Mtani. Unajifichaga wapi eti?
Nikaona jana na Manakha kaeka na Madroo kabisa kwenye page yake Insta nikasema Lol.2014? Aaah mkuu
Hatukuandikiwa barua. 🤣🤣🤣🤣Tumeichagua wenyewe🤣🤣🤣🤣
Hahahaaa. Mtani nani wa kujiunga naye eti wakati hapo kati points nyingi zilikuwa za maonevu?
#Etimakosayakibinadamu. Lol
Sasa wakiendekeza mahovyo hovyo napo tukatolewa hiyo jumanne sijui jumatano na hao Gwambina shauri zao.Nikweli kabisa
Saafi sana Mtani. Karibu tena.
Mnakufa asubuhi mapemaaa, kabda yaKilichobakia tuelekeze nguvu FA huenda mwakani tukacheza Kimataifa.
Umri wa mtu huo mkuu2014? Aaah mkuu
Walahi vile umejua kunichekesha au ndio ile kwamba kun*a any* kuku aki*n*a bata kaharis*a.Mavi ya kale hayanuki Shadeeya, walijisemea wahenga
Lazima wafanye kila linalowezekana angalau huko ndiyo iwe mkombozi wetuSasa wakiendekeza mahovyo hovyo napo tukatolewa hiyo jumanne sijui jumatano na hao Gwambina shauri zao.
Mana huku TPL wazee wa miamala tumeshawasafishia njia.