Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama unakiri mnachekwa kila siku si uamie Simba mnyama mkali

Shadeeya unakwama wapi?

"wape salaamaaam" Nugaz voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani bila yanga GSM haiwezi kutangaza biashara zake?
ni sawa na kusema Bila simba moo hawezi kutangaza biashara zake.
watu wanaweka hela zao wanataka Matokeo mazuri.
Atawakimbiaje kwa mfano ..yeye kwake ni faida anatangaza Kampuni yake at zero Cost! Unachezea hii ngozi nyeupe iliyotokea Mashariki ya Kati wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAKUKURU chunguzeni nani aliwahaidi 14m Coastal Union..walivyozikosa points uwanjani wakawaambia wakate rufaa jina la Eric hawalioni kwenye instagram list..:Wanayanga mlioko kwenye vitengo fanyieni kazi hii issue.......mikia wanatumia hii njia kwa miaka mitatu sasa...siku ikithibitika mikia mnashushwa daraja tuko kazini bado✌️
 
🤔🤔🤔
 
Mbona sijasikia Azam wakilalamika bali ninyi tu mna tatizo gani? Azam alivyofungwa nje ndani Simba aliiahidi pesa kiasi gani hao Coast union? Yanga alipofungwa na Azam Simba waliiahidi kiasi gani kuwapa hao Azam? Kubalini kuwa ninyi ni wabovu msikimbilie kusema kuwa watu wanawahonga wapinzani wenu ili mfungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tukishushwa daraja ndo mtachukua ubingwa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…