Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uwiiii!! Hebu usiseme hivyo Mtani mana hamna nisichokipenda ka hizo penalti. Hapa naombea ikiwezekana tumalize kazi ndani ya 90 mins mana mambo ya kujiweka roho juu hata siyataki.

Haya anayaweza Troisième Ceil pekee. 😀😀
Aiseee jiandae kwa presha Shadeeya, kila nikiangalia naziona penalty kabisa.
 
Back
Top Bottom