We nae. π
Karibu Taifa. Teh tehHivi leo majilani mmejiandaa kisaikolojia?
Msije mkafukuzana wenyewe kwa wenyewe uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiii!! Hebu usiseme hivyo Mtani mana hamna nisichokipenda ka hizo penalti. Hapa naombea ikiwezekana tumalize kazi ndani ya 90 mins mana mambo ya kujiweka roho juu hata siyataki.
Uwiiii!! Hebu usiseme hivyo Mtani mana hamna nisichokipenda ka hizo penalti. Hapa naombea ikiwezekana tumalize kazi ndani ya 90 mins mana mambo ya kujiweka roho juu hata siyataki.
Haya anayaweza TroisiΓ¨me Ceil pekee. ππ
Wacha hizo bana. Zile sare zimeishia majuzi na tunakuja kuoa tarehe 08. Teh teh.[emoji23] Sasa timu yako imezoea sare... Na leo mtatoka tena sare. Then mapenati.. mnakwenda nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu tukitlewa sisi tutakunywa maji kweli?. π€ π€[emoji23] Sasa timu yako imezoea sare... Na leo mtatoka tena sare. Then mapenati.. mnakwenda nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngapi ngapi kwani kule eti?
Na dakika je? [emoji126]
Karibu Taifa. Teh teh
Wacha hizo bana. Zile sare zimeishia majuzi na tunakuja kuoa tarehe 08. Teh teh.
Wacha hizo bana. Zile sare zimeishia majuzi na tunakuja kuoa tarehe 08. Teh teh.
Mechi yenu haina hadhi ya kuchezea uwanja wa taifa[emoji16]
Taimu wili teli Mtani.Mtani kunioa hauwez. Nashukuru saiv ntakufunga mkiwa mmejaza uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nieleze jana ulikuwa na hali gani Mtani mana ulikimbia na kukimbia. π€ͺπ€ͺMshaanza kuchotwa akili na Tom&Jerry
Kaamua tu kuja kuwatuliza mana mlikuwa mnatutambia sana. π π
Mtani ulivyotupania lol.