Kabamba ndani [emoji1732][emoji85]KIKOSI KINACHOANZA DHIDI YA GWAMBINA HICHO
Bado huko simiyu?Muletage Updates basi mana wengine tupo njiani.
Kabamba yupi mana kuna Erick na Tshishimbi?
Kwanza nieleze jana ulikuwa na hali gani Mtani mana ulikimbia na kukimbia. 🤪🤪
Sijakuelewa hata Mtani. Unamaanisha bado nipo huku Simiyu? 💃💃💃
Kama yangu itakavyoisha muda sio mrefu. 🤣🤣🤣Simu iliisha chaji
Muletage Updates basi mana wengine tupo njiani.
Ewaaaaaa!! I'm waiting Mtani.Nitawaletea
Utatumiwa usijaliSijakuelewa hata Mtani. Unamaanisha bado nipo huku Simiyu? [emoji126][emoji126][emoji126]
Lete updates basi.
Wakishinda leo watafikisha ponts ngapi?
Ewaaaaaa!! I'm waiting Mtani.
Aiseee jiandae kwa presha Shadeeya, kila nikiangalia naziona penalty kabisa.Uwiiii!! Hebu usiseme hivyo Mtani mana hamna nisichokipenda ka hizo penalti. Hapa naombea ikiwezekana tumalize kazi ndani ya 90 mins mana mambo ya kujiweka roho juu hata siyataki.
Haya anayaweza Troisième Ceil pekee. 😀😀