Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Hapo 11 hapo!
Nilisikia mtangazaji wa star tv anasema Chacha Marwa ''Muraa&'' ni mnyeramba wa Singida nikachoka kabisa. Au ni yale mambo ya kununua jina kama ya mh. HK?
mkuu sipotoshi lakini nimemiss vitu vya lunyamilaAcha kupotosha(kwa makusudi) bana........Ni wapi nimemtaja Edibily Lunyamila?................Ama umelala ukimuota nini?.....Hahaaaa.............. Mnalo keshoChama letu litakuwa hivi hiyo kesho....1. Yaw Berko2. Shadrack Nsajigwa 'Fuso'3. Oscar Joshua4. Chacha Marwa 'Muraa'5. Nadir Haroub 'Cannavaro'6. Juma Seif 'Kijiko'7. Godfrey Taita8. Nurudin Bakari9. Davies Mwape10. Jerry Tegete11. Kigi Makassy
mkuu sipotoshi lakini nimemiss vitu vya lunyamila
hahahhahahh!! gift receivedkweli mnyama anawasiwasi hiyo michoro yoote ni dalili za uwoga tuuu
Yako wapi sasa......
Teh teh.....
Mbuzi kala mbwa.................lol