Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hapo 11 hapo!

Acha kupotosha(kwa makusudi) bana........Ni wapi nimemtaja Edibily Lunyamila?................Ama umelala ukimuota nini?.....Hahaaaa..............
Mnalo kesho

Chama letu litakuwa hivi hiyo kesho....

1. Yaw Berko
2. Shadrack Nsajigwa 'Fuso'
3. Oscar Joshua
4. Chacha Marwa 'Muraa'
5. Nadir Haroub 'Cannavaro'
6. Juma Seif 'Kijiko'
7. Godfrey Taita
8. Nurudin Bakari
9. Davies Mwape
10. Jerry Tegete
11. Kigi Makassy
 
Nilisikia mtangazaji wa star tv anasema Chacha Marwa ''Muraa&'' ni mnyeramba wa Singida nikachoka kabisa. Au ni yale mambo ya kununua jina kama ya mh. HK?

Hapana....

Yeye ni mkurya kwa kabila.....Baba yake anaishi Singida...

Chacha ni mzaliwa wa Singida kwa baba mkurya(wa Mara) na mama mnyiramba(wa Singida)....
 
Acha kupotosha(kwa makusudi) bana........Ni wapi nimemtaja Edibily Lunyamila?................Ama umelala ukimuota nini?.....Hahaaaa.............. Mnalo keshoChama letu litakuwa hivi hiyo kesho....1. Yaw Berko2. Shadrack Nsajigwa 'Fuso'3. Oscar Joshua4. Chacha Marwa 'Muraa'5. Nadir Haroub 'Cannavaro'6. Juma Seif 'Kijiko'7. Godfrey Taita8. Nurudin Bakari9. Davies Mwape10. Jerry Tegete11. Kigi Makassy
mkuu sipotoshi lakini nimemiss vitu vya lunyamila
 
kweli mnyama anawasiwasi hiyo michoro yoote ni dalili za uwoga tuuu
 
Nimekuwa shabiki wa yanga tangu nikiwa mtoto, enzi hizo za redio ya kijiji, mkulima.
Nimeanza kuichukia tangu nilipogundua kuwa ni timu ya MAGAMBA. Hili halina ubishi.

Niko tayari kupambana na mpenda Yanga yeyote bila kujali ni nani
 
nipo hapa kijitonyama kwenye Pub inaitwa ''Simba kapakatwa''.....nipo nagida kwa rrrraha zangu
 
He who laughs last laughs best,poleni sana watani 'namba unayopiga haipatikani jaribu tena baadae'.
 
Nina hoja binafsi, Yanga wabadilishe rangi ya jezi, hizi za magamba wengine tunashindwa kuvaa kwa kuogopa kuzomewa mitaani.
 
Pengine kama si huduma ya kwanza jana ingekuwa kichekesho kikubwa
wakati mabingwa wa kombe la kagame wakifika kupokea kombe wah wa tanesco walikata umeme wao
na baada ya hapo zilitokea busara za gari l a ambulance la huduma ya kwanza kuwasha taa ili kombe lisiibiwe namashabiki wa simba ambao baada ya umeme kukatika wengine walisogelea kama vile wanasikilizia kinachoendelea huku wakila timing
polen watani wangu ila aibu kubwa kwa serikali yetu rais akiwa na umati wa watu huk sudan na perdiem za nguvu watanzania wanaumia kukosa umeme
 
Wakati huo huo taa za simu za kichina zilizokuwa zikidharaulika jana zimekuwa msaada mkubwa hasa kwa vibaka waliokuwa wamejazaana habari zaidi zinasema wakati vibaaka hao wakiwa wanajigusa gusa na watu hasa mashabiki wa timu yataifa ya yanga watu wengi walianza kuwasha simu zao na kuwa msaada mkbwa zaidi ya tanesco

big up chinese phne
 
CCM inaanguka kila upande!hata timu ya harakati za ukombozi inahujumiwa!
Kwa upande mwingine TFF wawajibishwe!
 
Back
Top Bottom