Hawakuweza kutangaza maana hawakuwa na umeme... walikata matangazo saa ile ile umeme ulipoondokaDSTV walitangaza hiyo?
Nimekuwa shabiki wa yanga tangu nikiwa mtoto, enzi hizo za redio ya kijiji, mkulima.
Nimeanza kuichukia tangu nilipogundua kuwa ni timu ya MAGAMBA. Hili halina ubishi.
Niko tayari kupambana na mpenda Yanga yeyote bila kujali ni nani
Nenda kashangilie simba timu ya warabu.
Wewe acha kuficha hisia zako wewe ni Simba damu
Nimekuwa shabiki wa yanga tangu nikiwa mtoto, enzi hizo za redio ya kijiji, mkulima.
Nimeanza kuichukia tangu nilipogundua kuwa ni timu ya MAGAMBA. Hili halina ubishi.
Niko tayari kupambana na mpenda Yanga yeyote bila kujali ni nani
yanga na magamba ni kitu kimoja
Kweli Mkuu Fidel80 huyu jamaa ni SSC wa kutupwa ndio maana anabwabwaja
Pengine kama si huduma ya kwanza jana ingekuwa kichekesho kikubwa
wakati mabingwa wa kombe la kagame wakifika kupokea kombe wah wa tanesco walikata umeme wao
na baada ya hapo zilitokea busara za gari l a ambulance la huduma ya kwanza kuwasha taa ili kombe lisiibiwe namashabiki wa simba ambao baada ya umeme kukatika wengine walisogelea kama vile wanasikilizia kinachoendelea huku wakila timing
polen watani wangu ila aibu kubwa kwa serikali yetu rais akiwa na umati wa watu huk sudan na perdiem za nguvu watanzania wanaumia kukosa umeme
Florian kaijage walimuwajibisha kwa kudai alikuwa mzembe wakati wa mechi ya stars na morocco , sasa mechi ya jana ndio imekuwa aibu kubwa kwa tanzania maana watu wengi wa mataifa mbalimbali waliangalia sasa atafutwe mzembe aliesababisha aibu ile awajibishwe,tunajua tanesco imeshakufa bado kuzikwa kama anavyosema mzee Renatus mkinga pale wa kulaumiwa ni TFF kwa kushindwa kuwa na generator ya ziada(backup) wakijua umeme tanzania muda mwingi hukatikakatika mawazo yao wakiweka katika pesa ya viingilio
Ingawa hatujui tatizo la jana ni shida ya kawaida ya tanesco kama tulivyozoea au kulikuwa na watu wa simba ndani ya tanesco waliosababisha na kweli ilikuwa bado kidogo wakate kabla mpira haujamalizika ili warudie mechi baada ya kuona simba hawawezi kurudisha bao kwavile mkuu ni yanga ndio maana waliokuwa na njama wakaogopa!!
Si unajua ccm wanavyojua kuchakachua? Yanga ndio ilianza na rangi zake CCM kwa kujua Yanga inapendwa na wengu wakazichakachua!!!Yanga siwapendi kwa sababu moja tu, CCM.