Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

ukiambiwa uthibitishe kuwa tunatoa miamala unaweza kuthibitisha?
hata mechi ya singida united tulitoa miamala?
mbona nyie mechi yenu na KMC hamkutoa miamala!
Mbona mauthibitisho kibao tu Mtani na ndio maana watu wakijitokeza mnakuwa wakali mbaya.

Ila yote kwa yote Simba ili awe bora anahitaji Yanga bora pia.
 
Mbona mauthibitisho kibao tu Mtani na ndio maana watu wakijitokeza mnakuwa wakali mbaya.

Ila yote kwa yote Simba ili awe bora anahitaji Yanga bora pia.
ni kweli kabisa, maana tukipata challange kama ile ya tar. 8 kila mechi tunayokutana nayo VPL basi tunaweza tukachukua hata ubingwa Caf
 
Mbona mauthibitisho kibao tu Mtani na ndio maana watu wakijitokeza mnakuwa wakali mbaya.

Ila yote kwa yote Simba ili awe bora anahitaji Yanga bora pia.
Upo sahihi kwa kiasi kikubwa japo umesahau kusema pia tff iache kuwabeba
 
NYOTA 12 YANGA HAWANA MKATABA MWISHO WA MSIMU.

Nyota kadhaa wa Yanga watakuwa hawana mikataba mwishoni mwa msimu huu hatma yao ikibaki mikononi mwa kocha Luc Eymael.

Mkongwe Kelvin Yondani ambaye hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro na kocha Luc Eymael anaongoza orodha ya wachezaji hao ambao mikataba yao inamalizika.

Lakini pia yumo Andrew Vicent Chikupe ambaye amekosa karibu nusu nzima ya msimu huu baada ya kufanya mgomo akishinikiza alipwe madeni yake ya miaka ya nyuma.

Pia wamo mlinda lango Ramadhani Kabwili, Mohammed Issa 'Banka', Said Juma Makapu, Feisal Salum, Jaffar Mohammed, Ally Ally, Mrisho Ngasa na Raphael Daudi.

Kwa upande wa wachezaji wa kigeni orodha inaongozwa na David Molinga ambaye upo uwezekano akaondoka mapema zaidi Yanga kutokana na matukio ya utovu wa nidhamu.

Wengine ni Erick Kabamba na Yikpe Gnamien ambao inaelezwa pamoja na kupewa mikataba ya muda mrefu, waliwekewa vipengele vya kutathmini viwango vyao ndani ya miezi sita na kama hawatafikia malengo mikataba yao inaweza kuvunjwa.

Ni kipengele cha aina hiyo ambacho kiliwafanya Sadney Urikhob na Juma Balinya waondoke.
 
Hahahaha, ngoja kuna striker atakuja hapo mtafurahi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…