Hahahaaa. Huko kutozitaja ni dhahiri hata google haizitambui.Hahah kuna timu flani daraja la nne huko ila sikutajii
The only thing to fear is fear itself
Hvi Yikpe nae hapo Gor Mahia mlipomtoa alicheza mechi ngapi vile!!???Hahahaaa. Huko kutozitaja ni dhahiri hata google haizitambui.
Mshaambiwa wachezaji wa kigeni wasizidi watano,nyie komaeni na hao hao kina Yikpe na Niyonzima ama mkitaka kusajili muacheni Lamine mchukueni mwingine.NILETEENI KIUNGO WA KUNITINGISHA "TSHISHIMBI
KIUNGO wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kama kuna kitu anatamani basi ni timu yake kusajili kiungo mpya wa kushindana naye, mwenye ubora hata wa kumzidi.
Yanga katika hesabu zao za usajili wanajipanga kusajili kiungo wa kati mkabaji na kufikia sasa hesabu zinamtaja Mnyarwanda Ally Niyonzima kuwa chaguo la kocha Luc Eymael.
Akizungumza na Mwanaspoti, Tshishimbi amesema endapo Yanga itasajili kiungo mkabaji basi itakuwa akili nzuri itakayoboresha timu yao.
Amesema ana kiu kubwa ya kupambana kwa kushindana kwa ubora na kiungo mwenzake aliye na ubora mkubwa ndani ya kikosi hicho. “Mi napenda sana ushindani, nashangaa watu wanaogopa, mimi niko tofauti sana, napenda ushindani hii ndio njia sahihi ya mafanikio,” alisema Tshishimbi. “Kukiwa na ushindani mkubwa kwenye timu hapo ndipo ubora wa kikosi unakuja. Yanga wakileta kiungo mkabaji hiyo ndio safi mimi nataka sana tena aje haraka tuwanie nafasi kikosini.”
Mtani Inaelekea unatamani iwe hivyo eee?Mshaambiwa wachezaji wa kigeni wasizidi watano,nyie komaeni na hao hao kina Yikpe na Niyonzima ama mkitaka kusajili muacheni Lamine mchukueni mwingine.
The only thing to fear is fear itself
Mtani we google ujionee. 😀Hvi Yikpe nae hapo Gor Mahia mlipomtoa alicheza mechi ngapi vile!!???
The only thing to fear is fear itself
Pia nakukumbusha Mtani usisahau Kupakua App ya Timu ya Wananchi uwe unapata mawili matatu huko.Hvi Yikpe nae hapo Gor Mahia mlipomtoa alicheza mechi ngapi vile!!???
The only thing to fear is fear itself
Ha ha ha ha mbona yule captain Wa Neymar uwezo wake ni Mdogo kuliko mkude?
Daa Mimi hadi sahz inazingua inaniambia nihakikishe mtandao wangu unafanya kazi ilihali network iko fullMi mwenyewe nilishaipakua aisee.
Japo inahitaji maboresho zaidi kwani ile siku ya kwanza ilikuwa fasta kuingia na kupata news ila tangia jana iko slow kufunguka sa sijui ndio imepakuliwa na wengi au kuna maboresho hayajakamilika?
Nadhani wanaona na kuyasikia haya mapungufu na hawana budi kuyatafutia ufumbuzi mana kama App yangu tangia jana inaanza fresh tu kwamba karibu kwenye App Rasmi ya Yanga kisha naishia kuambiwa lipia hapa halafu inabaki tu kuload.Daa Mimi hadi sahz inazingua inaniambia nihakikishe mtandao wangu unafanya kazi ilihali network iko full
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga haijajipanga Imekurupuka[emoji4][emoji4]Nadhani wanaona na kuyasikia haya mapungufu na hawana budi kuyatafutia ufumbuzi mana kama App yangu tangia jana inaanza fresh tu kwamba karibu kwenye App Rasmi ya Yanga kisha naishia kuambiwa lipia hapa halafu inabaki tu kuload.
Hahah mtani hyo App yenu nikiipakua nitakuwa nina ichangia timu yenu mie nina yangu pia..Pia nakukumbusha Mtani usisahau Kupakua App ya Timu ya Wananchi uwe unapata mawili matatu huko.
View attachment 1439516
[emoji41]
Mwanzo tu huo lazima kuwe na changamoto Mtani.Yanga haijajipanga Imekurupuka[emoji4][emoji4]
The only thing to fear is fear itself
Hahahahaaa. Lol.Hahah mtani hyo App yenu nikiipakua nitakuwa nina ichangia timu yenu mie nina yangu pia..
Taarifa za Yanga utanipa wewe mtani[emoji3][emoji38]
The only thing to fear is fear itself
Hahah ama nikizitaka taarifa hutanipatia!!?Hahahahaaa. Lol.
Nami kwa Moyo mkunjufu nawatakia kila lenye kheri kwenu...Mwanzo tu huo lazima kuwe na changamoto Mtani.
Hivyo siiamini kauli ya kwamba tumekurupuka wakati App haina hata wiki. Lol.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mie nikiwa na taarifa yeyote inayohusu timu ya Wananchi lazima niimwage humu Mtani hivyo huu uzi ndio App yako. 😂😂😂😂Hahah ama nikizitaka taarifa hutanipatia!!?
The only thing to fear is fear itself
Hahah humu afadhali lakini App ni big No[emoji3][emoji3]Mie nikiwa na taarifa yeyote inayohusu timu ya Wananchi lazima niimwage humu Mtani hivyo huu uzi ndio App yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]