Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuuYes ni hatua nzuri, ngoja nipunguze vitu kwa Simu yangu niivute fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Naona mmeanza kuja,ni hivi Corona italeta madhara kiuchumi ila nyie yatawaumiza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabrazil huwezi walinganisha na Yikpe
Hivi mliwatoa wapi wale wabrazil watatu? Ha ha ha haWabrazil huwezi walinganisha na Yikpe
Fraga utamlinganisha na Yikpe!!?huyo wenu Garasa zaidi
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabrazil huwezi walinganisha na Yikpe
Fraga utamlinganisha na Yikpe!!?huyo wenu Garasa zaidi
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wapo ila namba ngumu..ila tuongee ukweli mara ngapi Tairone da Silva anaanza kwenye defence ana anafanya vizuri!??Mkuu kwani Wabrazil walikuwa wangapi, si 3
Mbona unamtaja huyo Fraga peke yake ambaye naye kwenye mechi tulivyocheza na nyie alitepeta
Wale Wabrazil wa India wote ni mzigo, hivi wako wapi? Ukiacha huyo Faranga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwatoa brazilYirpe tulimtoa Gor mahia hali ilikuwa mbaya Mzee. Haya nieleze sasa mliwatoa wapi wale wabrazil watatu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu
Hahahaa!! Mtani naona unajifariji kutaka kuwaweka wabrazil wenu waonekane wana kitu kumbe si lolote. 😀Wabrazil huwezi walinganisha na Yikpe
Fraga utamlinganisha na Yikpe!!?huyo wenu Garasa zaidi
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu gani sa tukagoogle? Teh teh.
For your information .Muheshimiwa raisi kasema wanaangalia uwezekano wa kuruhusu ligi iendelee. Najiuliza kwa hali ilivyo kiuchumi,mikia fc watapata wapi hela za kununua mechi?
Usishangae na ubingwa wenyewe waukose
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Yikpe wabrazil wapo juu[emoji1][emoji1]Hahahaa!! Mtani naona unajifariji kutaka kuwaweka wabrazil wenu waonekane wana kitu kumbe si lolote. [emoji3]
Hahah kuna timu flani daraja la nne huko ila sikutajiiTimu gani sa tukagoogle? Teh teh.
Brazil pekee haitoshi Mtani.