Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Yeah wanakuja vzrYap! Na amejitahidi kuwa mbunifu sana aisee.
Hahahaha, hapa idara ya mawasiluino na masoko na tehama wamecheza vzrYaani Mtani hili sio bao la kisigino ni lile la Mama mkanye Mwanao. [emoji1787]
Na hapa yule ropo ropo wao hana cha kuongea saa hii mana alishawahi kusema eti wao ni wa kwanza kwenye kila kitu.
Hakika na unajua tena kitu kikipakuliwa na wengi sababu kiukweli kabisa sisi Mashabiki wa timu ya wananchi huwa tunapenda yale mazuri yanayofanywa na klabu hivyo si ajabu kila mmoja anataka awe nayo timu kiganjani. πDuuu IT Technicians wetu watakuwa wana shida mahali Fulani ila naamini wanahangaika kuliweka sawa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaombea wale wavurugaji waendelee kutulia hivi hivi mana hawakawii kuharibu mambo.Yeah wanakuja vzr
Hahahaha Yanga sasa hv imetulia mno , labda itokee tuHapa tunaombea wale wavurugaji waendelee kutulia hivi hivi mana hawakawii kuharibu mambo.
Na kutulia huko ndio kitu ambacho upande wa pili hawapendi kiwepo. π€£π€£Hahahaha Yanga sasa hv imetulia mno , labda itokee tu
Kupata kichekesho kama hiki Andika neno CHURA kwenda namba 70124. asanteHaijalishi Mtani Potelea pweteee wacha GSM atuue. ππππ
Kama mimi aisee. Huwa nawakumbuka sana tambo zenu. Lol. Ligi ianze hebu.
Natamani watupange na nyie Quarter final kwenye Kombe la FA tupate kuwanyoosha tena. πππ
Wenzako wanaojiita watabiri walisemaga hivyo hivyo mwisho wa siku tukawanyoosha.Kupata kichekesho kama hiki Andika neno CHURA kwenda namba 70124. asante
Swadakta, maneno yako sawia kabisaHakika usemalo Mtani.
Kitu kikiwa hewani ndio wasaa wa kuyashughulikia mapungufu yanayojitokeza ambayo bila kuwa hewani huezi yajua kirahisi.
Akiona hizi kosakosa hatotamani kutusogelea ha ha haWenzako wanaojiita watabiri walisemaga hivyo hivyo mwisho wa siku tukawanyoosha.
Ombea tupangwe na nyie uone nini kitatokea.
"Bila janjja janjja Yanga hafungwi na 5imba" (In Nuggaz voice) [emoji23][emoji23][emoji23]
Akiona hizi kosakosa hatotamani kutusogelea ha ha haView attachment 1442538
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!! Bora umemkumbusha mana alishajisahaulisha eti.Akiona hizi kosakosa hatotamani kutusogelea ha ha ha
View attachment 1442538
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyero FC Walijua mpira unachezwa mitandaoni. πππHakika Mikia hawataki kusikia na kuona kipute hiki. Na hakuna wa kutia mguu hapo. Wote bado wako kimyaaa.
Acha vitisho weweeee subiri ligi irudi tubebe mwari wetu. Nyie gombanieni nafasi ya NNE na akina Namungo.Wenzako wanaojiita watabiri walisemaga hivyo hivyo mwisho wa siku tukawanyoosha.
Ombea tupangwe na nyie uone nini kitatokea.
"Bila janjja janjja Yanga hafungwi na 5imba" (In Nuggaz voice) πππ
Unajitisha mwenyewe Mkuu.Acha vitisho weweeee subiri ligi irudi tubebe mwari wetu. Nyie gombanieni nafasi ya NNE na akina Namungo.
Mnyero FC Walijua mpira unachezwa mitandaoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ropo ropo wao akawaaminisha eti nyie subirini tarehe 08 Machi dunia itasimama hii.
Akajua mbele ya Presdaa wa CAF pia mpira utachezwa kwa sheria za miamala. [emoji28][emoji28][emoji28] lol.
Hatari fire, bonge la mechi hatari, Yanga ndo timu bora ya wakati woteView attachment 1444090View attachment 1444092
Sent using Jamii Forums mobile app