Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Daaa nampenda sana Nchimbi na nadhani ndiye mchezaji anayeweza kutoa 100% ya work rate kwenye timu yetu. Anajituma sana na hakati tamaa,namtabiria mema huko mbele
 
Yah!! Na kama mechi zile mbili za watani wa jadi alikuwa mwiba kwani beki za simba zilipata sana tabu.

Na kama sio janja janja ile mechi ya raundi ya kwanza yule mama alimnyima penalti ya wazi kabisa.
 
Ndio mnavojidanganya!? Kwanini mnaependa kuwalalamikia sana waamuzi? Hizo ni dalili za uwoga ujue Shadeeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…