Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Hahah sasa wewe unaona karibu kweli hapo!!!?Mtani hapo unaona mko mbaali wenyewe.
The only thing to fear is fear itself
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah sasa wewe unaona karibu kweli hapo!!!?Mtani hapo unaona mko mbaali wenyewe.
Tunashukuru kwa taarifaSASA KUMEKUCHA
Napenda kuwafahamisha ya kuwa, siku ya Jumanne saa kumi jioni wachezaji wote wa @yangasc wataripoti Uwanja wa Mazoezi kwa ajili ya Vipimo mbalimbali kama Uzito, Covid19, Malaria, Glucometer-Kupima Sukari Mwilini etc na maelekezo mbalimbali jinsi ya kujikinga na Covid19.
AIDHA tumemualika Dr Marealle Mjumbe wa Kudumu wa Kamati ya Tiba CAF na Mjumbe wa Kamati ya Tiba TFF! kuja kutoa darasa kwa ufupi kwa vijana wetu kuhusu Covid 19.
Mwenyekiti wa Klabu pamoja na Wadhamini wetu watapata wasaa wa kuzungumza na wachezaji kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo michezo yetu iliyobaki na maana yake kwa timu yetu!
Hakutakuwa na Ruhusa kwa yeyote kuingia Uwanjani kwenye Mazoezi ya Timu Kwa ajili ya Uzingativu wa Maelekezo ya Serikali yetu.
TUMEKUJA KIVINGINE TUTAELEWANA TU.
DEO MUTTA
KATIBU
KAMATI YA MASHIDANO
YANGA.
Apumzike pema legend!!Lawrence Mwalusako katutoka.
Mungu amlaze mahali pema peponi, Amen!
Kwani wee unaonaje mamii?🤣🤣🤣Mtani hapo unaona mko mbaali wenyewe.
SASA KUMEKUCHA
Napenda kuwafahamisha ya kuwa, siku ya Jumanne saa kumi jioni wachezaji wote wa @yangasc wataripoti Uwanja wa Mazoezi kwa ajili ya Vipimo mbalimbali kama Uzito, Covid19, Malaria, Glucometer-Kupima Sukari Mwilini etc na maelekezo mbalimbali jinsi ya kujikinga na Covid19.
AIDHA tumemualika Dr Marealle Mjumbe wa Kudumu wa Kamati ya Tiba CAF na Mjumbe wa Kamati ya Tiba TFF! kuja kutoa darasa kwa ufupi kwa vijana wetu kuhusu Covid 19.
Mwenyekiti wa Klabu pamoja na Wadhamini wetu watapata wasaa wa kuzungumza na wachezaji kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo michezo yetu iliyobaki na maana yake kwa timu yetu!
Hakutakuwa na Ruhusa kwa yeyote kuingia Uwanjani kwenye Mazoezi ya Timu Kwa ajili ya Uzingativu wa Maelekezo ya Serikali yetu.
TUMEKUJA KIVINGINE TUTAELEWANA TU.
DEO MUTTA
KATIBU
KAMATI YA MASHIDANO
YANGA.
😂😂😂😂Hahah sasa wewe unaona karibu kweli hapo!!!?
The only thing to fear is fear itself
Shukuruni miamala. La sivyo hapo mngepasikia kwenye bomba.Kwani wee unaonaje mamii?🤣🤣🤣
Kikubwa mazowezi yafanyike tu Mtani. 😎😎.Uwanja wa mazoez wa kwenu au mnaenda kwenye uwanja wa shule[emoji3]
Si umeona umekosa cha kusema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Kuna kombe la FA bado ambalo kila kukicha tunaombea tupangwe na nyie Mtani.Si umeona umekosa cha kusema [emoji23][emoji23]
Jipange msimu ujao....
The only thing to fear is fear itself
Hahah mkipangwa na sisi ndoto zenu za kushiriki mashindano ya kimataifa zitafutikaHahahaaaa. Kuna kombe la FA bado ambalo kila kukicha tunaombea tupangwe na nyie Mtani.
Woooiii!! Nadhani unaijua Timu ya wananchi ile iliyokusapuraizzz mechi mbili ya nje na ndan hivyo ombea usipangwe na sisi mana hutatamani ubingwa wa Vpl kwani utakuwa unamajeraha kibao.Hahah mkipangwa na sisi ndoto zenu za kushiriki mashindano ya kimataifa zitafutika
The only thing to fear is fear itself
Kikubwa mazowezi yafanyike tu Mtani. [emoji41][emoji41].
Waende na nyavu za kuvulia samaki 🤣🤣🤣Basi mngefanyia ayo mazoez apo jagwani[emoji16]
Hahah hayo mambo yenu ya dharau yatawatokea puani safari hii shauri yenuWoooiii!! Nadhani unaijua Timu ya wananchi ile iliyokusapuraizzz mechi mbili ya nje na ndan hivyo ombea usipangwe na sisi mana hutatamani ubingwa wa Vpl kwani utakuwa unamajeraha kibao.
Waende na nyavu za kuvulia samaki 🤣🤣🤣
Ila Mtani mna maneno nyie chaaaa.Basi mngefanyia ayo mazoez apo jagwani[emoji16]