Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga wabishi sana aisee. Papaa Zahera alishawahi kukiri hadharani wakati huo akiwa mkuu wa bench lenu la ufundi kua Lunyasi ni habari nyingine, ni mziki mnene

Aliamua kupaki basi na treni kabisaa ndio ikiwa salama yenu. Sasa nakushangaa Shadeeya leo hii unauliza goli mbili tulizipataje wakati nyie ndio tuwaulize mlitumia miujiza ya Kalumanzira yupi kuzirudisha!!!!? Soka letu hulioni? Kikosi chetu hukioni!!!?
Mkifungwa nyie ndio mnajua kwamba kuna Kalumanzila. Lol. 😳

Hivyo mechi zenu zote mlizoshinda achilia zile za miamala mmetumia Kalumanzila kupata matokeo?
 
Hahah naona umeamua kunitoa mafichoni!!

Ngoja kuna mambo niyaweke sawa nirudi,Ila na mark maelezo yako yote niwe na pa kuanzia.

Wewe ndiyo App yangu,sie wenyewe tuna mipango yetu

The only thing to fear is fear itself
Hahahahaa!! Sawwa sawwa Mtani.

Eti mie ndio App lol. Hahahaa. Mipango ipi tena?
 
Mkifungwa nyie ndio mnajua kwamba kuna Kalumanzila. Lol. 😳

Hivyo mechi zenu zote mlizoshinda achilia zile za miamala mmetumia Kalumanzila kupata matokeo?
Uwe unakuja uwanjani mamii ujionee soka linavyondandazwa, usibague mechi, njoo utazame mechi zote za Simba utakubali kuwa uwezo wa Lunyasi sio wa kucheza nchi hii.

Ila ukaze moyo maana lazima utapatwa na mchecheto kuona kua kwa soka la Simba hua mnachomokaje kwenye dabi. Na hapo ndio utakiri kua labda mlikua na msaada wa Kalumanani vile?🤣🤣🤣
 
Angalia tu nyie ndio msije iga anayoyafanya Yanga.

Pesa nyingi hiyo huko Msimbazi iko wapi Mtani. Au hizo sijui B 20 za kwenye maandishi. [emoji28][emoji28][emoji28]
Hvi ni kwamba hujui kuwa Msimbazi kuna pesa nyingi!??ama unanitania mtani!!

Sisi tuna pesa nyingi ndio mana masuala ya App tumewaachia nyie sisi tutafanya mambo mengine makubwa

The only thing to fear is fear itself
 
Angalia tu nyie ndio msije iga anayoyafanya Yanga. Pesa nyingi hiyo huko Msimbazi iko wapi Mtani. Au hizo sijui B 20 za kwenye maandishi. 😅😅😅
Ndio ujue sasa pesa ni nyingi Msimbazi. Kama mambo yanaenda vyema hapa tu bila 20B kuwapo, je itakuwaje zikiingia?
 
Back
Top Bottom