Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi Ses ndo tuseme ukishiba futari unakuwa mzito kuelewa kiasi hiki eee? ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
Nimesoma ile para ya kwanza ya Mwenyekiti Msola hata sijaelewa! Naona siasa nyiiiingi. Hebu nisaidie kuelezea anamaanisha nini Shadeeya
 
Hahahaaa. Lol.
Ndio maana nakwambia acheni maneno meeengi sijui programu ya maboresho ya maendeleo ya mikakati ya miundombinu ya kufanikisha ya mipango endelevu!!!!!!! Njooni uwanjani mcheze soka maneno waachieni CHADEMA na CCM
 
Heheheheheee!! Kwani hizo programu zikiendelea Uwanjani tunakuwa hatuchezi?

Najua inauma mkisikia haya maneno ila jikazeni tu yanga nayo ifanye mabadiliko tuzidi kula sahani moja.
 
Tunavyo watamani basi tu. Lini kombe la FA litaanza tena ili tuwaonyeshe kua mlibahatisha? Julio anamsemo wake "kunguru kumnyea binadamu sio kama anashabaha bali kabahatisha"
Nyie endeleeni na mipango ya programu ya maendeleo endelevu sisi tunawasubiri dimbani

SubutuuuhamuwezikuakamaSimba๐Ÿคฃ
 
Chukua hiyooo.

Bila janja janja Yanga hafungwwi na Simba. (In Nugaz voice)
 
Habari kubwa kwa Wananchi:

Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, leo amezindua kampeni ya kuelekea uzinduzi wa mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu hiyo, ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo chini ya Mwanasheria Msomi, Alex Mgongolwa.

Mchakato wote wa mabadiliko ya kimfumo utasimamiwa na kufadhiliwa na Mdhamini wa Yanga, Chapa GSM, ukiwa na kauli mbiu ya โ€œTWENZETU KWENYE MABADILIKOโ€

Huu sasa ni mwanzo halisi wa kuelekea kuweka saini ya makubaliano hayo, ambao utakuwa muda rasmi wa kuanza mchakato wa mabadiliko.

@Azamsports2
N ways "TWENZETU KWENYE MABADILIKO!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunavyo watamani basi tu. Lini kombe la FA litaanza tena ili tuwaonyeshe kua mlibahatisha? Julio anamsemo wake "kunguru kumnyea binadamu sio kama anashabaha bali kabahatisha"
Nyie endeleeni na mipango ya programu ya maendeleo endelevu sisi tunawasubiri dimbani

SubutuuuhamuwezikuakamaSimba[emoji1787]
Daaa asee mna roho ngumu sana mana tulipowafunga goli 2 ndani ya dk 3 mlisema tumebahatisha. Tuliporudiana mkasema tutawaeleza ile droo tuliipataje. BM double 3 Bernard Morrison alipofunga ndoa na ninyi mkanyamaza kidogo mana mlikiwa honeymoon. Sahz mmeanza tena kutaka tena!?

Na waishukuru Corona sababu wao ndio walipaswa kutueleza zile goli mbili za mapema walizipataje? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Yanga wabishi sana aisee. Papaa Zahera alishawahi kukiri hadharani wakati huo akiwa mkuu wa bench lenu la ufundi kua Lunyasi ni habari nyingine, ni mziki mnene

Aliamua kupaki basi na treni kabisaa ndio ikiwa salama yenu. Sasa nakushangaa Shadeeya leo hii unauliza goli mbili tulizipataje wakati nyie ndio tuwaulize mlitumia miujiza ya Kalumanzira yupi kuzirudisha!!!!? Soka letu hulioni? Kikosi chetu hukioni!!!?
 
Bila ya janja janja mikia hawawezi kuifunga Yanga

08/03/2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom