Habari kubwa kwa Wananchi:
Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, leo amezindua kampeni ya kuelekea uzinduzi wa mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji wa klabu hiyo, ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo chini ya Mwanasheria Msomi, Alex Mgongolwa.
Mchakato wote wa mabadiliko ya kimfumo utasimamiwa na kufadhiliwa na Mdhamini wa Yanga, Chapa GSM, ukiwa na kauli mbiu ya โTWENZETU KWENYE MABADILIKOโ
Huu sasa ni mwanzo halisi wa kuelekea kuweka saini ya makubaliano hayo, ambao utakuwa muda rasmi wa kuanza mchakato wa mabadiliko.
@Azamsports2