Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mkifungwa nyie ndio mnajua kwamba kuna Kalumanzila. Lol. 😳Yanga wabishi sana aisee. Papaa Zahera alishawahi kukiri hadharani wakati huo akiwa mkuu wa bench lenu la ufundi kua Lunyasi ni habari nyingine, ni mziki mnene
Aliamua kupaki basi na treni kabisaa ndio ikiwa salama yenu. Sasa nakushangaa Shadeeya leo hii unauliza goli mbili tulizipataje wakati nyie ndio tuwaulize mlitumia miujiza ya Kalumanzira yupi kuzirudisha!!!!? Soka letu hulioni? Kikosi chetu hukioni!!!?
Hivyo mechi zenu zote mlizoshinda achilia zile za miamala mmetumia Kalumanzila kupata matokeo?