Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Na sisi tunakaribia kuchukua ubingwa mara ya tatu mfululizo..Na soon tutavunja rekodi yenuYeees!! Na tarehe 08.06.2020 linatimiza miezi mitatu. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi tunakaribia kuchukua ubingwa mara ya tatu mfululizo..Na soon tutavunja rekodi yenuYeees!! Na tarehe 08.06.2020 linatimiza miezi mitatu. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Naona tunaelekea kwenye maadhimisho! Ha ha haYeees!! Na tarehe 08.06.2020 linatimiza miezi mitatu. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahaaa. Umefanya nimecheka. Lol.Tuonyesheni chenu chenye majukwaa
Rekodi ipi Mtani?Na sisi tunakaribia kuchukua ubingwa mara ya tatu mfululizo..Na soon tutavunja rekodi yenu
Watu walilala na viatu shem. 😀Tarehe 08 March 2020 ilinyamaziisha nchi-Morrisson.
Mpaka tukutane nao tena na kuwafunga bao lingine ndio tunaacha kuliadhimisha. 😅😅😅Naona tunaelekea kwenye maadhimisho! Ha ha ha
Kwa taratibu za kawaida ni hivyo!Mpaka tukutane nao tena na kuwafunga bao lingine ndio tunaacha kuliadhimisha. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mtani na tunavyoelekea kwenye mabadiliko itachelewa sana kuchemka. 🤣🤣🤣Kutesa kwa zamu naelewa,ila dawa ipo jikoni
Hahahaaa. Hii post haina tofauti na msumari wa moto aiseee.Kwa taratibu za kawaida ni hivyo!
Ya kuchukua kombe japo mara 6 mfululizo mana wote tuliishia hapo kwenye tano.Rekodi ipi Mtani?
Ushindi wenu wa mwaka huu mtaukumbuka sana mana hamtakaa muupate kwa kitambo kirefu.Mtani na tunavyoelekea kwenye mabadiliko itachelewa sana kuchemka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado upo usingizini mtaniMpaka tukutane nao tena na kuwafunga bao lingine ndio tunaacha kuliadhimisha. [emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo itakuwa ligi au kituko. Yaani ubingwa uchukue wewe tu Mtani.Ya kuchukua kombe japo mara 6 mfululizo mana wote tuliishia hapo kwenye tano.
Subiri tuchukue mara ya 3 halafu nyingine tatu muda huo nyie muendelee kupigania haki yenu ya msingi ya kushiriki shirikisho[emoji23][emoji4][emoji4]
Hebu tupagwe pamoja FA tuone nini kitatokea.Ushindi wenu wa mwaka huu mtaukumbuka sana mana hamtakaa muupate kwa kitambo kirefu.
Hahahaaa. LolBado upo usingizini mtani
Wewe kaa kwa kutulia uone mambo yatakavyokuwa[emoji23][emoji4]Hiyo itakuwa ligi au kituko. Yaani ubingwa uchukue wewe tu Mtani.
Hamna kitu kama hicho tena msimu huu shukuruni sisi tulikuwa dhohofu lihali ile saa ligi inaanza.
Kila siku nakwambia tukikutana ushiriki wenu kombe la shirikisho utakuwa hatianiHebu tupagwe pamoja FA tuone nini kitatokea.
Mtani naona unatukwepa kiaina. 😂😂Kila siku nakwambia tukikutana ushiriki wenu kombe la shirikisho utakuwa hatiani
Nadhani huelewi[emoji848][emoji848]