Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Rekodi ipi Mtani?
Ya kuchukua kombe japo mara 6 mfululizo mana wote tuliishia hapo kwenye tano.

Subiri tuchukue mara ya 3 halafu nyingine tatu muda huo nyie muendelee kupigania haki yenu ya msingi ya kushiriki shirikisho[emoji23][emoji4][emoji4]
 
Hiyo itakuwa ligi au kituko. Yaani ubingwa uchukue wewe tu Mtani.

Hamna kitu kama hicho tena msimu huu shukuruni sisi tulikuwa dhohofu lihali ile saa ligi inaanza.
 
Wewe kaa kwa kutulia uone mambo yatakavyokuwa[emoji23][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…