Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
View attachment 1461492
KARIBUNI JUMAMOSI TUTAKUWA NA JAMBO LETU PALE SERENA HOTEL. [emoji41]
Mtani naona unatukwepa kiaina. [emoji23][emoji23]
Muhindi kanipumzisha kidogo Mtani hivyo leo miguu juu. 😅😅😅Leo uko mapumziko maana una fujo[emoji16]
Muhindi kanipumzisha kidogo Mtani hivyo leo miguu juu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mambo mazuri yanakuja ndani ya Timu ya Wananchi Mtani. 😀😀[emoji1][emoji1][emoji1]
Ahsante.Hongera yako
Mambo mazuri yanakuja ndani ya Timu ya Wananchi Mtani. [emoji3][emoji3]
Tunaombea yaende salama kama tulivyotarajia isije wakatokea kina Kilomoni [emoji23] wakatukwamisha.
Nauamini sana ila wanga kama hao hawakosekanagi Mtani.Mbona hujiamini na uongozi wenu[emoji16]
Nauamini sana ila wanga kama hao hawakosekanagi Mtani.
Inamana we ushamsahau Kilomoni alivyowatoa jasho. Mana hadi mkatengeneza nyaraka mpya mkamuachia zake alizonazo kabatini zikibakia kama pambo. [emoji3]
Yabidi aisee.Ndo mjipange kwa lolote
Tunawaonea huruma,tunahitaji sana ushiriki wenu kimataifaMtani naona unatukwepa kiaina. [emoji23][emoji23]
Hahahaaa. LolLeo kazi ipo huyu Shadeeya leo ametumwa na timu yake kuitafutia udhamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona hivyo ujue sina mishe za kuniweka busy leo Mtani. 😂Leo kazi ipo huyu Shadeeya leo ametumwa na timu yake kuitafutia udhamini[emoji23][emoji23][emoji23]