Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Oooh!!!

Hiyo Back2Back labda ya kule Instagram kwenye page yake ila kiuhalisia nitapingana na wewe siku zote Mtani.
 
Shadeeya kumbe ulishaanza kunenepeana hovyo😜 kwa kujifariji na vigoli uchwara, subiri Mnyama Simba aje kufanya yake kwa kutwaa Ligi kuu na FA hakika mwili wako utarudi kwenye hali yake ya kawaida.😜
Simba nguvu moja
Simba bingwa
Hahahaaaa. Kicheko changu cha leo kimeanzia hapa Mtani. Lol.

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba ya wapi ndugu!? Ha ha ha

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…