Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Simba inapiga mpira mkubwa haiitaji kununua wala kuhonga ili kupata ushindi, level za Simba ni za Duniani huko siyo huku porini walipo Yanga🐸.
Jambo moja unatakiwa kujua unapoiongelea Simba jua unaiongelea Dunia kwa ujumla.
#Next level #Back2Back10 (kwa sauti ya haji manara)
Simba nguvu moja
Simba bingwa
Oooh!!!

Hiyo Back2Back labda ya kule Instagram kwenye page yake ila kiuhalisia nitapingana na wewe siku zote Mtani.
 
Amakweli Masikini akipata
2289386_2289265_14eaa34c-6bd0-49bd-bf25-7086a7fdbf59.gif
 
Simba inapiga mpira mkubwa haiitaji kununua wala kuhonga ili kupata ushindi, level za Simba ni za Duniani huko siyo huku porini walipo Yanga[emoji196].
Jambo moja unatakiwa kujua unapoiongelea Simba jua unaiongelea Dunia kwa ujumla.
#Next level #Back2Back10 (kwa sauti ya haji manara)
Simba nguvu moja
Simba bingwa
Simba ya wapi ndugu!? Ha ha ha

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom