Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mgeni Rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kulia kwake ni Mwenyekiti wetu Dkt. Mshindo Msolla,Luka Neghesti kutoka Sportpesa na kushoto ni Eng. Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM kwenye Hafla ya utiaji saini wa mchakato wa mabadiliko ya Uendeshaji wa Klabu yetu ambayo ilifanyika jumapili ya tarehe 31/05/2020 Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

@Yangasc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…