Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kina Shaffih Dauda au sio hao?Tuwekee mkuu,japo kuna wajanja janja wanaleta za uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina Shaffih Dauda au sio hao?Tuwekee mkuu,japo kuna wajanja janja wanaleta za uongo
Shafii mjinga sana,kila siku wanakosoa timu zinajiendesha kizamani.....mabadiriko yanakuja wanaanza kukosoa tena......shenzi sana maana wanafanya biashara za jezi fake anaona ulaji unapotea,unafiki mkubwa sanaKina Shaffih Dauda au sio hao?
Mnyero Fc yule.Shafii mjinga sana,kila siku wanakosoa timu zinajiendesha kizamani.....mabadiriko yanakuja wanaanza kukosoa tena......shenzi sana maana wanafanya biashara za jezi fake anaona ulaji unapotea,unafiki mkubwa sana
Nilikua nikitaja hili jina watu wanacheka! Lakini yupo Lecturer mmoja wa UDOM anaitwa Mnyero na ni mtu kutoka sehemu moja inaitwa Gombero pande za TangaMnyero Fc yule.
Hahahaaa. Ndio jina lenu hilo la sasa. 😎Nilikua nikitaja hili jina watu wanacheka! Lakini yupo Lecturer mmoja wa UDOM anaitwa Mnyero na ni mtu kutoka sehemu moja inaitwa Gombero pande za Tanga