Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Shadeeya anafaa sana kuchukua ile nafasi ya Antonio Nugaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo nafasi hainifai mana nitawakera sannna. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unavoitetea Yanga Masau Bwire na Ruvu Shooting yake wanasubiri aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo nafasi hainifai mana nitawakera sannna. 🤣🤣🤣
Hakika Mtani. Yamebakia masaa tu sasa.
😀😀😀😀 lol.Labda ujikere mwenyewe[emoji16]
Hahaha nitakuwepo kwa hisani ya SPÖRTIVÉ CLUBÉ DÉ MWADUI.Hahahaaa. Usisepe tu baada ya 90mins.
Hahahaaa.Unavoitetea Yanga Masau Bwire na Ruvu Shooting yake wanasubiri aisee🤣🤣🤣
Usijali. Nitakuwepo kukujibu na mie.Me sitokusumbua mpaka mechi iishe ndo nitakuuliza matokeo[emoji16]
Ewaaaa!!! Musije kusema tumeloga tu. 😎Hahaha nitakuwepo kwa hisani ya SPÖRTIVÉ CLUBÉ DÉ MWADUI.
Yanga inaupiga mpira mwiiingi sana, kwenye magazeti lakini 🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀 lol.
Yaani ingekuwa mukiisikia Yanga anacheza basi mioyo yenu inatetemeka. 🤣🤣
😀😀😀Unavoitetea Yanga Masau Bwire na Ruvu Shooting yake wanasubiri aisee🤣🤣🤣
Wakicheza na Sportive Clube De Utopolo🤣🤣🤣Hahaha nitakuwepo kwa hisani ya SPÖRTIVÉ CLUBÉ DÉ MWADUI.
Yanga inaupiga mpira mwiiingi sana, kwenye magazeti lakini 🤣🤣🤣🤣
Njoo uwanjani sasa, utopolo mtupu
Acha fujo Shadeeya🤣🤣🤣
Hahaha nitakuwepo kwa hisani ya SPÖRTIVÉ CLUBÉ DÉ MWADUI.
Hebu tuacheni watu wa La liga huko. 😎😎Wakicheza na Sportive Clube De Utopolo🤣🤣🤣
Yaap kwenye dimba la ESTADIO DU KAMBARAGÉ.W
Wakicheza na Sportive Clube De Utopolo🤣🤣🤣
Kwani tumekataa kua nyie ni La Liga Shadeeya? Ila ni La Liga wa kwenye magazeti tu🤣Hebu tuacheni watu wa La liga huko. 😎😎
Hii haisaidii kwani kipigo kwa Mwadui kiko pale pale. 😎Yaap kwenye dimba la ESTADIO DU KAMBARAGÉ.
Eti eeeKwani tumekataa kua nyie ni La Liga Shadeeya? Ila ni La Liga wa kwenye magazeti tu🤣