Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Ni kweli Mkuu Simba ni mnyonge wetu tu na kudhihirisha hilo tunabeba ubingwa wa ligi kuu msimu huu, na msimu ujao tunashiriki ligi ya mabingwa Africa.Eeeh asee, Daaa ila nasikitika kuona kwenye hii ligi yetu sisi mnyonge wetu ni Simba tu mana kina kmc wanatufunga. Tukicheza na simba ndio muda pekee tunakuwa na uhakika Wa asilimia zote kuondoka na matokeo
Daima mbele