Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Eeeh asee, Daaa ila nasikitika kuona kwenye hii ligi yetu sisi mnyonge wetu ni Simba tu mana kina kmc wanatufunga. Tukicheza na simba ndio muda pekee tunakuwa na uhakika Wa asilimia zote kuondoka na matokeo
Ni kweli Mkuu Simba ni mnyonge wetu tu na kudhihirisha hilo tunabeba ubingwa wa ligi kuu msimu huu, na msimu ujao tunashiriki ligi ya mabingwa Africa.

Daima mbele
 
20200613_181053.jpg
Na matokeo ndio kama hayo.
 
Back
Top Bottom