Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bernard Morison kawazimia simu viongozi wa Yanga na hajulikani halipo hahahahahahahahah.
 
Dooh inasikitisha sana inamaana sisi mnyonge wetu ni mnyero united tu hapa nchini!?
 
Ratiba ya Laliga leo:

Deportivo la utopolo Vs Real Mwadui Fc
Estadio de Kambarage
10:00 EAT

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh asee, Daaa ila nasikitika kuona kwenye hii ligi yetu sisi mnyonge wetu ni Simba tu mana kina kmc wanatufunga. Tukicheza na simba ndio muda pekee tunakuwa na uhakika Wa asilimia zote kuondoka na matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…