Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo bingwa wa nchi timu tishio zaidi kuwahi kutokea kwenye ramani ya soka la Dunia.

Mnyama mkali Simba sc anashuka dimbani kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku zikisalia mechi chache kabla ya kuhitimisha msimu.

Simba nguvu moja Shadeeya
 
Eeeh. Mnakutana na wazee wa mpapaso.
 
Kauli thaabit kabisa hii

Cc Shadeeya
Ukimfuatilia sana atakuwa Mbumbumbu huyo anayejivika shuka la Uwananchi.

Hapo ulipaswa umuulize ilipobebwa ni wapi na hiyo mashine ilitokea wapi mpaka wakapewa Yanga wapumulie Teh teh au huko Instagram wanakopigaga umbea mana Uwanjani hatukuliona hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…